Wednesday, October 20, 2010

MHE HAWA AKIJINADI KWA WANA VYUO VIKUU WAISHIO JIMBO LA UBUNGO.

BI HAWA NG'HUMBI,,,akielezea wasifu wake kwa wana vyuo vikuu waishio katika jimbo la UBUNGO. Katika ukumbi wa maendeleo urafiki tarehe 16 OCT 2010. Akiendelea kutoa sababu za yeye kugombea katika jimbo hili la ubungo jimbo lenye changamoto nyingi.
Mhe.Hawa Ng'humbi akiwa katika mkutano na wanavyuo vikuu akijuwa kuwa na wao wananafasi muhimu kwa viongozi, akiwapa kipaumbele wanavyuo hao kwa kuwa ndio nguzo katika Taifa na Jamii.

Wasomi hao wakimuunga mkono Mhe.Hawa Ng'humbi na kumuhakikishia kuwa atakamata nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo kwa ushindi mkubwa, kwani Mhe.Hawa Ng'humbi ndio mgombea ambaye mwenye uwezo mkubwa na elimu ya kutosha ukilinganisha na wagombea wengine. Kwa pamoja waki sema "WE WANT SOME ONE WHO CAN BELIVER TO DAY FOR THE FUTURE"


VIJANA WA VYUO VIKUU WAKI NADI SERA ZA CCM KUPITIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO.

Vijana hao wa vyuo vikuu waki mnadi Bi HAWA NG'HUMBI niishara ya kumkubali mgombea ubunge jimbo la ubungo maana ni msoni,mchapakazi,mwadilifu na kisha kumfananisha na Mhe. MAKUFULI(WAZIRI)