Wednesday, October 20, 2010

MHE HAWA AKIJINADI KWA WANA VYUO VIKUU WAISHIO JIMBO LA UBUNGO.

BI HAWA NG'HUMBI,,,akielezea wasifu wake kwa wana vyuo vikuu waishio katika jimbo la UBUNGO. Katika ukumbi wa maendeleo urafiki tarehe 16 OCT 2010. Akiendelea kutoa sababu za yeye kugombea katika jimbo hili la ubungo jimbo lenye changamoto nyingi.
Mhe.Hawa Ng'humbi akiwa katika mkutano na wanavyuo vikuu akijuwa kuwa na wao wananafasi muhimu kwa viongozi, akiwapa kipaumbele wanavyuo hao kwa kuwa ndio nguzo katika Taifa na Jamii.

Wasomi hao wakimuunga mkono Mhe.Hawa Ng'humbi na kumuhakikishia kuwa atakamata nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo kwa ushindi mkubwa, kwani Mhe.Hawa Ng'humbi ndio mgombea ambaye mwenye uwezo mkubwa na elimu ya kutosha ukilinganisha na wagombea wengine. Kwa pamoja waki sema "WE WANT SOME ONE WHO CAN BELIVER TO DAY FOR THE FUTURE"


VIJANA WA VYUO VIKUU WAKI NADI SERA ZA CCM KUPITIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO.

Vijana hao wa vyuo vikuu waki mnadi Bi HAWA NG'HUMBI niishara ya kumkubali mgombea ubunge jimbo la ubungo maana ni msoni,mchapakazi,mwadilifu na kisha kumfananisha na Mhe. MAKUFULI(WAZIRI)

Monday, October 18, 2010

JK ALITEKA JIMBO LA UBUNGO, MANZESE

 Jk akihutubia Manzese, aliwaomba wananchi wa Manzese wakipe kura chama cha Mapinduzi kwa kuwa ni chama chenye kuleta maendeleo.

Jk akimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Ubungo  Mhe.Hawa Ng'humbi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika Manzese viwanja vya Bakhresa.

Jk akimnadi Mgombea Udiwani  wa CCM wa kata ya Manzese kwa niaba ya Madiwani wote wa Jimbo hilo la Ubungo.

Manzese kulifurika watu kumsikiliza Jk.
Jk akiwapa mkono wa salamu wananchi wa Manzese 
Kulikuwa hapatoshi

Sunday, October 17, 2010

MHE.HAWA NG'HUMBI AITINGISHA MBEZI,MSUGURI

Mgeni rasmi Mhe.Shamsa Mangunga akmnadi Bi Hawa Ng'humbi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Mkutano Viwanja vya Mbezi kwa Msuguri, hii niishara ya kuonyesha Wana CCM wake kwa waume wanapendana.
Mhe.Hawa Ng'humbi akielezea ilani ya chama Cha Mapinduzi na kuwaomba ridhaa Wananchi wakichague Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndio chama kilichosimama imara, akiwataka Wananchi wachague mafiga matatu, ikiwa Ngazi ya Uraisi Mhe.Dr Jakaya Mrisho Kikwete, Ngazi ya Ubunge yeye Mwenyewe Bi.Hawa Ng'humbi kwa Jimbo la Ubungo na Mwisho aliomba wachaguliwe Madiwani wote wakata  zote za CCM.
Baada ya mgeni rasmi kuingia meza kuu wote waki simama kuonyesha ishara ya heshima.kwa mgeni rasmi huku wakimshangilia kwa makofi na vigerere wengine wakisema "USHINDI NILAZIMA 2010" hawalali mpaka kieleweke...!

Tuesday, October 5, 2010

DR BILAL AKIHITIMISHA WIKI YA UWT PAMOJA NA KUWANADI WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI WA WILAYA KINONDONI, DAR-ES-SALAAM

 Dr.Mohammed Gharibu bilali akihitimisha wiki ya UWT katika Viwanja vya Mwinjuma, Kinondoni
Mh.Hawa Ng'humbi akiomba kura kwa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa UWT baada ya kunadiwa na Mgombea mwenza wa urais Mheshimiwa Dr.Mohammed Gharib Bilali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Mwinjuma, Kinondoni.