Jk akimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Ubungo Mhe.Hawa Ng'humbi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika Manzese viwanja vya Bakhresa.
Jk akimnadi Mgombea Udiwani wa CCM wa kata ya Manzese kwa niaba ya Madiwani wote wa Jimbo hilo la Ubungo.
Manzese kulifurika watu kumsikiliza Jk.
No comments:
Post a Comment